Katibu wa jimbo la Magharibi mchungaji A. amon Akiongoza misa ya Uzinduzi wa Tamasha la Twenzetu kwa Yesu
Vijana kutoka sharika mbalimbali wakicheza siku ya Uzinduzi wa Tamasha la twenzetu kwa Yesu usharikani
Umoja wa kwaya toka sharika mbalimbali wakiimba siku ya Uzinduzi wa Tamasha la Twenzetu kwa Yesu usharikani
Watoto wakiimba na kuabudu katika siku kuu ya Mikaeli na Watoto Usharikani
Waalimu wa Shule ya Jumapili (Sunday School) wakifurahia siku yao na kumtolea Bwana Shukrani
Kwaya ya Umoja, Vijana wakiimba katika siku ya Uzinduzi wa Tamasha la Twenzetu Kwa Yesu Usharikani
Mchungaji Victor Makundi akiongoza maombezi kwa ajili ya uzao wa watoto wa kiume usharikani
Waumini wakisikiliza mahubiri katika ibada ya mfungo wa siku arobaini usharikani
Kazi ya kupaua bati imeanza baada ya kukamilisha kazi za ujenzi wa nguzo na kuta usharikani