SADAKA
Mpendwa katika Bwana Unakaribishwa kuchaniga au kutoa Sadaka kwa kadri Mungu atakavyo kubariki ili kazi ya Bwana ipate kuendelea
Tunapokea sadaka mbalimbali kupitia akaunti zetu hapo chini, Tafadahili fuata maelekezo kwa usahihi.
Tunanzo Huduma na Kazi mbalimbali hapa usharikini ambazo zinahitaji rasilimali fedha ili kuzitekeleze,Tuna kazi za ujuenzi wa Kanisa unaoendelea pamoja na Huduma za Kidiekonia tunakukaribisha kushikiana nasi kwa sadaka ili kuwezesha jambo hili la Baraka
.
ASANTE MUNGU AKUBARIKI